Mwana Fa alijieleza hivyo baada ya mwandishi wa habari hii kumshtukia akiwa anasinzia mara kwa mara katika mikusanyiko ya watu.
Mwana Fa alidai tabia hiyo ya kulala mara kwa mara humsaidia kupumzisha akili yake katika utungaji wa nyimbo zake.
“Si utani ‘best’ yaani mie napenda kweli kulala na ndiyo maana nyumbani kwangu nina kitanda ‘spesho’ cha futi tatu ili nisilale na mtu mwingine pindi ninapohitaji kusinzia kwani napenda kupumzika ili akili nyingine iingie kichwani,” alifafanua Mwana FA.
0 comments:
Post a Comment