Image
Image

BAWACHA kuzindua zoezi la nyumba kwa nyumba kuhamasisha wananchi kujitokeza katika daftari la wapiga kura.

Mlezi wa Bawacha Bi,Liliani Wasira akizungumza na  Wananchi na wanachama wa CHADEMA juu ya kujitokeza wakati wa mchakato wa zoezi la kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura Jijini Dar es Salaam.
Wananchi na wanachama wa CHADEMA wakimsikiliza kwa makini mlezi wa Bawacha Bi,Liliani Wasira wakati akizungumza nao juu ya kujitokeza wakati wa mchakato wa zoezi la kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura Jijini Dar es Salaam.

Wananchi na wanachama wa CHADEMA wakimsikiliza kwa makini mlezi wa Bawacha Bi,Liliani Wasira wakati akizungumza nao juu ya kujitokeza wakati wa mchakato wa zoezi la kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura Jijini Dar es Salaam.
Dar es Salaam.
Baraza la wanawake wa chama cha demokrasia na maendeleo Chadema jimbo la Segerea jijini Dar-es-Salaam wamesema wanakusudia kuanza kutembea nyumba kwa nyumba kuhamasisha wananchi kujiandikisha kwa wingi katika daftari la wapiga kura.
Hayo yameelezwa na mlezi wa Bawacha Bi,Liliani Wasira ambapo amesema lengo la kufanya hivyo ni ili wananchi wawe na utayari ili  zoezi hilo litakapofika mkoani Dar-es-Salaam waweze kupiga kura.

Hata hivyo katika zoezi hilo amewaasa akina mama kuto kurudi nyuma na kujiona hawawezi kufanya kazi kama wanavyuo fanya wanaume na kuwataka wasiwe waoga wajitokeze ili kuweza kugombea katika uongozi wa juu hususa Udiwani,Ubunge, na hata Urais kwani wanaweza.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment