Image
Image

China yatengeneza ndege ya kwanza inayotumia umeme.


Ndege ya kwanza ya abiria duniani inayotumia umeme na kupata hati ya uwezo wa kusafiri, imetengenezwa nchini China.
Ndege mbili za mwanzo zimekabidhiwa kwenye kampuni ya mambo ya anga ya Liaoning Ruixiang hapo jana, na zitatumika katika mafunzo ya marubani.
Ndege hiyo ilishiriki kwenye maonyesho ya 10 ya kimataifa ya China ya vyombo vya usafari wa anga na masuala ya anga ambayo yalifanyika mjini Zhuhai, mkoa wa Guandong, mwezi Novemba mwaka jana.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment