Hata hivyo China ina wavuta sigara milioni mia tatu
wakati sheria ya kusitisha wavutaji sigara katika maeneo ya wazi ya mji wa
Beijing ilipopitishwa kwa mara ya kwanza na kushindwa kutekelezeka.Ripoti
inasema kuwa watu wengi wanadhani sheria hiyo ya kukataza kabisa uvutaji sigara
haitafanya kazi.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment