Wanaharakati hao wanasema serikali - ambayo
inawaongoza ina waslamu wengi wa madhehebu ya Shia inawabagua Waisalamu wa
madhehebu ya Suni waliokimbia makazi yao kutokana na mashambulizi ya Islamic
State aambao nao pia ni Waislamu wa Suni.
Kwa wale wanaojaribu kuingia Baghdad wanakutana na
vikazo vya barabarani katika mitaa ya mji ambapo hatua za kiusalama kwa ajili
ya ulinzi zinachukuliwa.
Mwandishi wa BBC amewakuta familia ya Sunni zikiwa
zimekwama eneo hilo zikiwa na hali mbaya ambapo wanafikiria kurejea kwenye
maeneo yaliyoshikiliwa na IS.BBC
0 comments:
Post a Comment