Katika taarifa yake Eritrea imedai kuwa ripoti h iyo imekuwa ni ya
kisiasa kwani kama huko hakuna ushahidi
wowote wa kuthibitisha tuhuma hizo za
ukiukaji wa haki za binadamu.
Kwa sababu hiyo serikali ya Eritrea imesema ri poti hiyo ilikuwa
ni kampeni ya kulichafua taifa hilo
ambalo linathamini haki za binadamu.
Umoja wa Mataifa ilichapisha ripoti hiyo baada ya uchunguzi wake
wa mwaka mmoja.
0 comments:
Post a Comment