Hii ndio orodha ya kumi bora.
Forbes laanika orodha ya majina 10 ya watu maarufu waliolipwa zaidi mwaka 2015.
Jay Z Na mke wake Beyonce wameshindwa kukamata nafasi za juu kwenye
orodha ya watu maarufu waliolipwa zaidai mwaka 2015. Jarida la Forbes
limetoa watu maarufu 100 waliolipwa zaida mwaka huu. Beyonce ameshika
namba #29 akiwa na pesa dola milioni $54.5
Hii ndio orodha ya kumi bora.
Hii ndio orodha ya kumi bora.
0 comments:
Post a Comment