Video ambayo ilikuwa inasubiriwa kwa hamu na mashabiki wa Music
ndani na nje ya nchi hatimaye sasa imeachiwa ambapo Muongozaji wa video kutoka
Afrika Kusini Meji Alabi ndiye aliyetayarisha video hii mpya ya Ali Kiba ‘chekecha Cheketua.
Star na mmiliki wa hit song “Chekecha” Ally kiba, ameungana
na wakali kama Ben Poul na Nah real katika Coke studio mwaka huu Season 3.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Kiba ameshare picha
kadhaa alizopiga huko.
Itizame hapa kasha niandikie maoni yako.
0 comments:
Post a Comment