Takwimu zinaon esha idadi ya mimba
za utotoni katika mkoa huo ni zaidi ya asilimia
25 ya kitaifa,hivyo kufanya
vijana hao kuwa katika hatari kubwa ya kupoteza uhai wakiwa na umri mdogo.
Hayo yamebainika wakati
wataalam kutoka Wizara ya Afya na Ustawi
wa Jamii kitengo cha Afya ya Uzazi na motto,walipozungumza na wakuu wa idara na watendaji Mkoani
Shinyanga .
Baadhi ya wazazi wa medai kuwa bado elimu inahitajika zaidi kwa wazazi
wanaoishi katika maeneo ya vijijini ili kuacha mila na desturi potofu
zinazosababisha kuwaozesha mabinti zao wakiwa na umri mdogo kwa lengo la
kujipatia mali hali hali inayohatarisha kundi hilo la vijana.
0 comments:
Post a Comment