Shirika la afya duniani WHO
linasema kuwa mlipuko wa homa ya Middle East Respiratory Syndrome au MERS
nchini Korea Kusini na mkubwa na huenda kesi zaidi zikaripotiwa.
Baada ya uchunguzi wa wiki
moja shirika la WHO linasema kuwa madaktari nchini korea kusini ambao
hawakuhufahamu ugonjwa huo huenda walichangia ugonjwa usambae kwa haraka .
Utawala nchini korea kusini
unasema kuwa watu 12 wameambukizwa ugonjwa wa MERS huku 14 wakijulikana kuaga
dunia.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment