Nchi nyingine ni pamoja na
Botswana, Afrika ya Kusini, Zimbabwe, Zambia, Msumbiji, Swaziland na wenyeji,
Namibia, ambao watagharamia wageni wao
Makamu wa raisi wa chama cha
gofu nchini Tanzania (TGU), Joseph Tango amesema mchezaji Abbas Adamu kutoka
Arusha, Kaskazini mwa Tanzania atakuwa ni miongoni mwa washiriki, baada ya
kushinda mara mbili michuano iliyopita na akiwa miongoni mwa wachezaji wa
daraja la juu (Division A).
Wachezaji wengine wawili
watachaguliwa kutoka division B na C na Tango atakuwa kiongozi wa msafara.
“Tuna mategemeo wachezaji wetu watafanya vizuri na kurudi nyumbani na ushindi”,
amesema Tango.
0 comments:
Post a Comment