Pia inaaminika kwamba
Liverpool inamthamini mchezaji huyo wa miaka 20 kuwa na thamani ya pauni
milioni 50 na kwamba haina mpango wa kumuuza .
Mchezaji huyo amehusishwa na
mzozo katika uwanja wa Anfield na hivi majuzi alisema kuwa hatoweka sahihi ya
mkataba mwengine katika klabu hiyo.
Hatahivyo ajenti wa Sterling
Aidy Ward amedaiwa kusema kwamba hatokubali kandarasi nyengine katika klabu ya
Liverpool hata akipewa kandarasi ya pauni laki tisa kwa wiki.
0 comments:
Post a Comment