Miaka minne iliyopita FIFA
iliipa interpol dolla millioni 22 kufadhili mradi ulio na lengo la kuendeleza
maadili katika secta ya michezo.
Interpol inasema washirika
wake wote ni sharti wadumishe na kuendeleze maadili na taratibu zinazotumiwa na
interpol katika utendaji kazi wake.
FIFA imesema imesikitishwa na
uamuzi huo wa Interpol na kuongeza kuwa mradi huo wa mikakati ya kuzua
udandanyifu katika soka hauhusiani kwa vyovyote vile na kashfa ya madai ya
rushwa dhidi ya FIFA.
0 comments:
Post a Comment