Kampeni inayoratibiwa na
shirika la Umoja wa Mataifa la idadi ya watu UNFPA ya kuhamasisha kuhusu athari
na matibabu ya ugonjwa wa Fistula unaowapata wanawake baada ya kujifungua
inaendela nchini Tanzania ambapo timu maalum ikiwahusisha wasanii wa muziki
wanazunguka mikoa mbalimbali kuelimisha umma.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment