Katika
mtandao kuelekea mkutano wa viongozi wa Afrika huko Afrika ya Kusini mwishoni
mwa wiki hii Bwana KENYATTA amesema kuwa utegemezi wa kupewa unaoonekana tu
kama hisani ni lazima uishe.
Kiongozi
huyo wa Kenya amesisitiza kuwa msaada wa kigeni mara nyingi huwa na masharti
yenye mazingira ambayo mara nyingi huzuia maendeleo kwa hiyo ni wakati wa
kuachana na misaada ya kigeni.
Misaada
inasadikiwa huchangia kati ya asilimia tano na asilimia sita ya jumla ya pato
la Kenya.
0 comments:
Post a Comment