ANAL ni kiongozi wa kikundi kinachotaka kujitenga cha National
Socialist Council of Nagaland .
Shambulio hilo limetokea mwezi
uliopita jirani na mpaka wa Myanmar katika Jimbo la Manipur
na kutokana na shambulio hilo Jeshi la India limelipiza kisasi kwa kushambulia kambi a
waasi ndani ya Myanmar siku kadhaa baada ya shambulio hilo dhidi ya msafara wa
jeshi.
Jeshi la India
limesema liliteketeza kambili mbili za waasi ndani ya
Myanmar na kurejea salama, madai ambayo
yamekanushwa na Myanmar.
0 comments:
Post a Comment