Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiingia rasmi katika jimbo la Buchosha, kuanza ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM, mkoani Mwanza leo. Kushoto ni Katibu wa CCM, mkoa wa Mwanza Miraji Mtaturu.
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akizungumza na Mbunge wa Sengerema, William Ngeleja, wakati wa mapokezi ya Katibu Mkuu wa CCM abdulrahman Kuingia mkoa wa Mwanza leo. Ngeleja pia ni mmoja wa makada wa CCM walichukua fomu kuomba kuteuliwa na CCM kuwania Urais katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akisalimia baadhi ya viongozi wakati wa mapokezi hayo.Kushoto ni Mtaturu
Mbunge wa Sengerema, William Ngeleja akisalimia wakati wa mapokezi ya Katibu Mkuu wa CCM abdulrahman Kinana, kuingia mkoa wa Mwanza leo. Kulia ni Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdrulrahman Kinana akizungumza wakati wa mapokezi yake kuingia mkoa wa Mwanza, yaliyofanyika leo katika Kijiji cha Nyamadoke.
Mkuu wa mkoa wa Mwanza Magesa Mulongo akizungumza wakati wa Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM wilaya ya Sengerema,mkoani Mwanza, kilichofanyika katika jimbo hilo, leo, Kilia ni Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana na Katibu wa CCM mkoa wa Mwanza, Miraji Mtaturu na kushoto ni Katibu wa NEC, Itikadi na uenezi, Nape Nnauye.
Kijana aliyeko kwenye msafara wa Kinana akiwa amepanda kilimani ili kupata vizuri network ya mtandao wa siku, akiwa katika shule ya msingi Bupendwa.
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana, akizungumza wakati wa Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM wilaya ya Sengerema,mkoani Mwanza, kilichofanyika katika jimbo hilo.
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana, akizungumza wakati wa Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM wilaya ya Sengerema,mkoani Mwanza, kilichofanyika katika jimbo hilo.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika Kijiji cha Bupendwa, jimbo la Buchosa, mkoani Mwanza.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akinunua ndizi kwa mkazi mmmoja wa kijiji cha Bupendwa, aliyekuwa akiuza ndidi hizo kwenye mkutano wake wa hadhara uliofanyika kwenye kijiji hicho, leo katika jimbo la Buchosa, mkoani Mwanza. Kinana ambaye amefunga katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhani, aliwapa kula ndizi hizo wale ambao hawakufunga.
Wananchi wakishangilia katika mkutano wahadhara uliofanyika katikaKijiji cha Bupendwa
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiwahutubia wanachi wa Kijiji cha Bupendwa mkoani Mwanza.
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akizindua Ofisi ya CCM, tawi la Katwe jimbo la Buchosa mkoani Mwanza.
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akipatiwa maelezo kuhusu chanzo cha maji cha mradi wa maji safi na salama cha Rumeya, jimbo la Buchosa, mkoani Mwanza .
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiwahutubia wananchi atika Kata ya Nyehunge, katika jimbo la Buchosa mkoani Mwanza.
Katibu Mkuu a CCM, Abdulrahman Kinana akizindua mradi wa maji katika kijiji cha Nyehunge jimbo la Buchosa mkoani Mwanza.
Katibu Mkuu a CCM, Abdulrahman Kinana akizindua mradi wa maji katika kijiji cha Nyehunge jimbo la Buchosa mkoani Mwanza.
Katibu Mkuu a CCM, Abdulrahman Kinana akimtwisha ndoo ya maji Selima John, wakati akizindua mradi wa maji katika kijiji cha Nyehunge jimbo la Buchosa mkoani Mwanza.
Mkazi wa kijiji cha Nyehunge akiselebuka, kufuarhia maji baada ya Kaibu Mkuu wa CCM kuzindua mradi wa maji wa kijiji hicho.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia maelfu ya wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika Kata ya Nyehunge akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na Uhai wa Chama katika jimbo la Buchosa, mkoani Mwanza leo.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia maelfu ya wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika Kata ya Nyehunge akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na Uhai wa Chama katika jimbo la Buchosa, mkoani Mwanza.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia maelfu ya wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika Kata ya Nyehunge akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na Uhai wa Chama katika jimbo la Buchosa, mkoani Mwanza leo.
Mradi huo wa maji ya
bomba lumeya, kalebezo hadi nyehunge ulioanza kutekelezwa oktoba 2012 na
mkandarasi kampuni ya PET COOPERATION LTD ya kahama kwa gharama ya shilingi
bilioni moja na milioni mia sita tisini na nne unatarajiwa kukamilika na
kukabidhiwa kwa wananchi ifikapo julai 31 mwaka huu, ambapo kwa mujibu wa
mhandisi wa maji wilayani Sengerema Nicas Ligombi kwa sasa mradi huo
umekamilika kwa asilimia 90 na upo kwenye hatua ya majaribio.
Mbunge wa jimbo la Buchosa
ambaye pia ni naibu waziri wa uchukuzi mh. Dk. Charles Tizeba akizungumza mbele
ya katibu mkuu wa chama cha mapinduzi Abdulrahman Kinana ambaye yupo katika
ziara ya siku kumi mkoani Mwanza, ametaja baadhi ya changamoto za utekelezaji
wa mradi huo ikiwemo kuchelewa kupokelewa kwa wakati fedha za kugharimia mradi
huo.
Kwa upande wake katibu
mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akizungumza na wananchi baada ya kuona chanzo
cha maji kilichopo katika kijiji cha Lumeya amewataka wananchi kutunza na
kulinda vyanzo vya maji na kuacha tabia ya kuhujumu miundominu ya maji kwani
fedha zinazotumika kugharimia miradi hiyo ni kodi za wananchi.
Mradi wa maji wa zamani
ulikuwa na uwezo wa kuhudumia wakazi wapatao 2,600 ambapo ulikuwa na vituo 13
vya kuchotea maji , huku pampu ya awali ikiwa na uwezo wa kusukuma lita 33,000
za ujazo kwa saa.
0 comments:
Post a Comment