GERVAIS
RUFYIKIRI anaaminika kwa sasa yupo nchini Ubelgiji.
Lakini Ofisi ya Rais imetoa taarifa kwa vyombo vya
habari kuwa Bwana RUFYIKIRI alikuwa na shughuli zake nchini Ubelgiji na
atarejea nyumbani.
Akizungumza
na Kituo cha televisheni cha Ufaransa cha France 24 jana, Bwana RUFYIKIRI amesema anapinga hatua haramu
ya Rais NKURUNZIZA ya kugombea Urais kwa awamu ya tatu.
Hatua
ya Rais NKURUNZIZA kutaka kuwania tena
Urais,imeibua maandamano ya vurugu na kusababisha mapinduzi yaliyoshindwa mwezi uliopita.
0 comments:
Post a Comment