Jeshi la majini
la China litasimamia uongozi wa manowari katika safari hiyo, ili kutathimini
ufanisi wa mazoezi na majaribio ya utafiti wa kisayansi katika miaka mitatu
iliyopita.
Tangu mwezi Septemba mwaka
2012, manowari hiyo imefanikisha majaribo zaidi mia moja ya utafiti wa
kisayansi, na mazoezi ya kupaa na kutua kwa ndege za kivita aina ya J-15 na
helikopta za aina mbalimbali kwenye manowari hiyo.
0 comments:
Post a Comment