Katibu Mkuu wa CUF Mhe. Maalim Seif
Sharif Hamad, akipokelewa katika uwanja wa ndege wa Zanzibar, baada ya kuwasili
akitokea Dar es Salaam ambako aliteuliwa Rasmi kuwa Mgombea Urais wa Zanzibar
kwa tiketi ya CUF mwaka 2015.
Katibu Mkuu wa CUF Mhe. Maalim Seif
Sharif Hamad, akizungumza na waandishi wa habari katika uwanja wa ndege wa
Zanzibar.
Katibu Mkuu wa CUF Mhe. Maalim Seif
Sharif Hamad ambaye ni mgombea Urais wa Chama hicho, akihutubia mkutano wa
hadhara katika viwanja vya Kibandamaiti mjini Zanzibar.
Katibu Mkuu wa CUF Mhe. Maalim Seif
Sharif Hamad na mkewe Mama Awena Sinani Massoud, wakiwa kwenye jukwaa kuonesha
furaha zao baada ya kuteuliwa kuwa mgombea urais wa Zanzibar.
Katibu Mkuu wa CUF Mhe. Maalim Seif
Sharif Hamad, akiwahutubia wafuasi na wapenzi wa chama hicho katika viwanja vya
Kibandamaiti mjini Zanzibar.
Mwenyekiti wa CUF Taifa Prof.
Ibrahim Lipumba akiwahutubia wafuasi na wapenzi wa Chama hicho katika viwanja
vya Kibandamaiti mjini Zanzibar.
Wafuasi na wapenzi wa chama cha
wananchi CUF wakifuatilia mkutano wa hadhara wa CUF katika viwanja vya
Kibandamaiti mjini Zanzibar.(picha na Salmin Said, OMKR)
0 comments:
Post a Comment