Image
Image

Mlipuko wa homa ya MERS Serikali ya Hong Kong imetoa tahadhari dhidi ya kusafiri kwenda nchini Korea Kusini.


Serikali ya Hong Kong imetoa tahadhari dhidi ya kusafiri kwenda nchini Korea Kusini, kufuatia kuwepo mlipuko wa homa ya Middle East Respiratory Syndrome ambayo pia inafahamika kama MERS nchini humo.
Onyo hilo linatolewa kwa safari ambazo si za lazima, ishara kuwa Hong Kong inaamini kwamba usafiri kwenda Korea kusini ni jambo ambalo ni hatari.
Wizara ya afya nchini Korea Kusini inasema kuwa watu 7 kwa sasa wameaga dunia kutokana ugonjwa huo.
Kumeripotiwa visa 8 vipya vya homa ya MERS na kufikisha idadi ya watu walioambukizwa kuwa 95.


Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment