Carver mwenye umri wa miaka
50 alichukua nafasi ya kocha Alan Pardew aliyetimkia timu ya Crystal Palace.
Katika michezo ishirini
aliyoiongoza timu hiyo alifanikiwa kushinda michezo mitatu.
Mkurugenzi mkuu wa timu hiyo
Lee Charnley, amesema atatafutwa kocha mpya wa kuweza kuijenga timu hiyo upya.
Kumekua na tetesi kocha wa
zamani wa timu ya Taifa ya Uingerza Steve McClaren, anaweza kuchaguliwa kuwa
kocha mpya wa kikosi cha Newcastle United.
0 comments:
Post a Comment