Ubelgiji watakua na mchezo
dhidi ya Wales siku ya Ijumaa katika kusaka tiketi ya kucheza Euro 2016.
Fellaini anasumbuliwa na
maumivu ya nyonga iliyomsabaisha kutojumuika na wenzake katika mazoezi.
kocha wa kikosi hicho Marc
Wilmots ameeleza kuwa wanasubiri kauli ya daktari wa timu ili kujua ukubwa wa
tatizo na kama wataweza mtumia mchezaji huyu katika mchezo huo.
Fellaini alifunga mabao
mawili katika ushindi wa 4-3 dhidi ya Ubelgiji katika mchezo wa kimataifa wa
kirafiki wa kalenda ya Fifa.
0 comments:
Post a Comment