Image
Image

News Alert:Mwenyekiti wa kamati ya mahusiano ya jamii UVCCM Juma Mhina azindua baraza la wazazi Kawe Jijini Dar es Salaam.


Mwenyekiti wa kamati ya mahusiano ya jamii UVCCM Dar es Salaam kamanda mstaafu wilaya ya Kinondoni Wakili Juma Mhina(PIJEI) akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa baraza la wazazi wa jimbo la Kawe jijini Dar es Salaam wimshoni mwa juma. Kushoto ni Mjumbe wa Halmashauri kuu jimbo la kawe Ramadhan Ndanga (POTIPOTI).

Mjumbe wa Halmashauri kuu jimbo la Kawe (CCM)Ramadhan Ndanga (POTIPOTI) akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa baraza la  wazazi wa Jimbo la Kawe kuhusiana na wananchi kujitokeza katika  kujiandikisha daftari la kudumu la wapigakura katika mkutano uliofanyika katika ofisi za CCMUkwamani Jimbo la kawe jijini Dar es Salaam.
 Mwenyekiti wa kamati ya mahusiano ya jamii UVCCM Dar es Salaam kamanda mstaafu wilaya ya Kinondoni Wakili Juma Mhina(PIJEI)wakiteta jambo katika  mkutano wa kufungua baraza la wazani wa jimbo la Kawe na Mwenyekiti wa  Baraza la wazazi kata ya Kawe jijini Dar es Salaam mwishoni mwa juma.


Baadhi ya wajumbe waliohudhuria katika mkutano wa Baraza la wafanyakazi lililozinduliwa na  Mwenyekiti wa kamati ya mahusiano ya jamii UVCCM Dar es Salaam kamanda  mstaafu wilaya ya Kinondoni Wakili Juma Mhina(PIJEI) katika jimbo la
Kawe jijini Dar es Salaam.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment