Akijibu swali la mbunge wa
IGALULA mhe, mhandisi RASHID MFUTAKAMBA Aliyetaka kujua wapi fedha za ziada
zitokakazo na petrol na gesi nchni na duniani ili uchumi wa nchni mwaka
2020 usiyumbe.
Naibu waziri wa fedha na
uchumi mhe.ADAM MALIMA baada ya ugunduzi serikali inahitaji uwekezaji wa sekta
binafsi na sekta ya umma uwekezaji ambao utafanywa kwa mujibu wa mikataba
ambayo itaweka wazi mgao wa mapato yatokanayo na rasiliamli gesi asilia.
Amesema serikali kupitia sera
na sheria itaweka utaratibu uliowazi wa namna ya kufanya m
aamuzi kuhusu matumizi ya
fedha hususani ikiwa ni pamoja maamuzi ya uwekezaji kwenye maeneo gani na kwa
wakati gani fedha zitaelekezwa kwenye matumizi.
0 comments:
Post a Comment