Bunge limeelezwa kuwa Serikali
kupitia Jeshi la Polisi imeende
lea kupambana na wimbi la mauaji ya
watu wenye Albin ism kwa kuimarisha kitengo cha Intelijensia na kufaya
misako na doria za mara kwa mara ili kuwabaini na kuwakamata
wahalifu .
Hayo yamesemwa Bungeni na Naibu
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, PEREIRA
AME SILIMA alipokuwa akijibu swali la Mbunge wa viti maalum,CLARA MWAITUKA,aliyetaka
kujua Tanzania inachukua hatua gani juu ya vitendo vya mauji ya watu
wenye Albinism pamoja na kuhakisha amani na utulivu inakuwepo .
Naibu Waziri SILIMA amesema ni kweli,kuwa tangu
nchi ipate uhuru imeendelea kusifika
duni ani kote kuwa kisiwa cha amani na utulivu wa kutosha kwa shughuli za jamii,siasa na uchumi
.
A mesema ni azma ya Serikali kuhakisha sifa hiyo njema ya amani na
utulivu inadumishwa kwa nguvu zote ili sifa hiyo
nzuri inaendelea kulibeba taifa la
Tanzania katika medani mbalimbali za kimataifa.
Hata hivyo Naibu Waziri SILIMA amesema kwa siku za hivi karibuni kumean za kujitokeza vitendo hivyo ambavyo ni vya u katili hasa
kwa watu wenye Albinism ,vikongwe na matukio ya
vurugu za makundi na
kwamba hali hiyo haikubaliki.
0 comments:
Post a Comment