Majani ya mti wa mwembe yanapochemshwa huweza kutumika kama tiba ya matatizo
haya yafuatayo;
Husaidia sana kuweza kutibu wale wenye tatizo la kikohozi kikavu.

Aidha, maji yake huweza kusaidia katika kuoshea vidonda kimsingi majani ya
mwembe yanauwezo mkubwa wa kukausha majeraha.
Pia husaidia sana kutoa ahueni kwa wale wenye matatizo ya pumu.
Mbali na hayo, unga wa majani ya mwembe huweza kutumika kwa kutunza meno , ambapo mtu mwenye tatizo hilo atapaswa kusukutua kwa kutumia unga unaotokana na majani hayo.

0 comments:
Post a Comment