Image
Image

Unajua kuwa majani ya Papai ni tiba ya ugonjwa wa Pumu?Kama ulikuwa hujui bhac huu ndio ukweli halisi.

Papai linaelezwa kuwa ni moja ya tunda ambalo hupatikana kirahisi na ni moja ya tunda ambalo limekuwa likitumika kama tiba.
Kwanza kabisa juisi yake ya majanai ya mpapai husaidia kutibu vidonda, kinachofanyika ni kuweka juisi hiyo juu ya kidonda. Husaidia kupona.
Pia majani yake yanapokaushwa husaidia sana kutibu pumu, unachopaswa kufanya pale inapoanza kubana pumu utayachoma majani uliyoyakausha kisha jifukize utaona matokeo mazuri na kuachiwa kubanwa.
Matumizi ya majani mabichi ya mpapai husaidia kwa wale wenye shinikizo la damu kwa kuyaloweeka katika maji ya mto na kunywa maji yake.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment