Hata hivyo mara nyingi hasa katika nchi
zinazoendelea, matunda ya kazi yao huwa nadra sana kupata na hata wakipata
yanakuwa kidogo kulinganisha na jasho ambalo limewatoka.
Sasa sauti zinapaswa kila wakati ili nao wale
matunda ya jasho lao kama inavyobainisha makala hii iliyoandaliwa na Amina
Hassan akimuangazia mwanamuziki nguli Ismaël Lô.
0 comments:
Post a Comment