Wakati wa maandamano hayo ,mawaziri wa serikali na
watafiti walipanga kukata kipande cha ardhi katika kijiji cha Apaa huko Amuru.
Utawala wa wanyama pori nchini Uganda unaamini
kwamba watu wanavamia ardhi ya uhifadhi wa wanyama pori huku wakaazi wakidai
kwamba ardhi hiyo ilikuwa ya mababu zao.
Mwandishi wa BBC anasema kuwa katika kabila la
Acholi ,mwanamke anapovua nguo na kusalia uchi ni zaidi ya kupigana kwa kuwa
inatoa laana kwa mpinzani wake.
0 comments:
Post a Comment