Police wanasema huenda kilichosababisha moto huo ni
ajali.
Walioshuhudia wanasema dereva wa gari hilo
alishindwa kulidhibiti ndiposa likakosa mwelekeo na kutoka barabarani na
kuwagonga watu waliokuwa wakisubiri usafiri katika kituo kimoja cha mabasi.
Mmoja ya waliokuwa wakishughulika kuwanusuru
waliojeruhiwa amesema magari mengine 12 nayo yalishika moto.
Mwandishi wa BBC aliyeko Nigeria anasema mikasa ya
ajali zinazohusu magari ya kubeba mafuta hutokea mara kwa mara nchini humo.
Miaka mitatu iliyopita ajali mbaya sana ya moto wa
mafuta iliwaua zaidi ya watu 100 huko Niger Delta katika mkasa uliochangiwa na
watu kuchota mafuta yaliomwagika baada ya gari kubwa la mafuta kupata ajali.
0 comments:
Post a Comment