Tume ya Uchaguzi ya Burundi imependekeza tarehe zi nazowezekana
kufanyika uchaguzi uliosogezwa mbele
ambapo kwa rais ni tarehe 15 mwezi ujao
na wabunge tarehe 26 mwezi huu.
Awali uchaguzi wa wabunge na rais ulipangwa kufany ika tarehe 5 na
tarehe 26 mwezi huu na haielekei kama
tarehe hizo mpya za uchag uzi zitawaridhisha wapinzani wa Serikali na wanaharakati.
Kwa upande wake Mkuu wa Haki za Binadamu ZEID RAASD al-HUSSEIN ameonya kwamba vijana wa chama tawala wameleta machafuko
zaidi katika nchi hiyo iliyokum bwa na
maandamano na baadaye jaribio la mapinduzi kupinga Rais PIERRE NKURUNZIZA kugombea muhula
wa tatu .
0 comments:
Post a Comment