Katibu mkuu wa shirikisho
hilo Jerome Valcke amesema kuwa ni 'ujinga' kuanza mpango huo katika mazingira
yaliopo.
Kura ya kumtafuta
atakayeandaa kombe la dunia mwaka 2016 inatarajiwa kufanyika mjini Kuala Lumpur
mwezi May mwaka 2017.
Marekani iko kifua mbele
kuandaa michuano hiyo lakini Canada,Mexico na Colombia pia zimewasilisha ombi
la kutaka kuandaa.
Urusi na Qatar walichaguliwa
kuandaa michuano ya mwaka 2018 na 2022 kupitia kura ya siri iliopigwa na
wanachama wakuu wa FIFA wapatao 22 mnamo mwezi Disemba mwaka 2010.
Lakini viongozi wa mashtaka
nchini Uswizi wanachunguza madai ya ufisadi yanayozunguka zabuni hizo.
0 comments:
Post a Comment