Biashara haramu ya tumbaku inaathiri pia Ukanda wa Afrika
Mashariki amesema Mshauri wa Shirika la Afya Duniani WHO kuhusu tumbaku barani
Afrika, Daktari Ahmed Ogwell Ouma wakati huu ambapo WHO imeadhimisha siku ya
kimataifa ya kupinga matumizi ya tumbaku kwa kuangazia athari za biashara
haramu ya tumbaku, ambazo ni asilimia 10 za sigara zinazouzwa duniani kote.
Daktari Ouma ameeleza kuwa biashara hizo
ni za aina tatu: magendo ya sigara, sigara bandia na sigara zisizo na idhini
kabisa, akifafanua athari zake.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment