Askari wawili wameuawa kwa kupigwa risasi na wahalifu Sanliurfa.
Askari wawili wameuawa katika shambulio lililotekelezwa na watu ambao bado hawajafahamika Ceylanpinar katika mkoa wa Sanliurfa.
Askari wawili katika kikosi cha kutuliza ghasia ambao walikuwa pia wakiishi pamoja walishambuliwa na kuuawa na wahalifu.
Baada ya shambulio hilo Polisi imefahamisha kufanya msako usiokuwa wa kawaida maeneo ya tukio.
Hakuna taarifa yeyote iliyotolewa ikiambatanisha tukio hilo na kitenda cha kigaidi.
0 comments:
Post a Comment