Staa wa Nigeria aliyeripotiwa awali kuwa na tofauti na msanii Diamond
Platnumz baada ya kufanya pamoja Remix ya wimbo Number 1 ameonyesha
wazi kuwa hakuna beef yeyote kati yao.
Mtv wametaja majina ya wasanii watakao fanya show kwenye usiku wa
tuzo na Diamond Platnumz kutoka Tanzania na Davido kutoka Nigeria wapo
miongoni mwa wasaii waliotajwa.
Hii ni post ya Davido Facebook.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)



0 comments:
Post a Comment