Mbali na kutumika kama kiungo cha kwenye mboga, karoti ina faida mbalimbali kwa afya yamwanadamu.
Karoti ina uwezo wa kutibu matatizo yafuatayo ya kiafya :
i.Inalainish tumbo
ii.Inapiganana upungufu wa damu
iii.Inasaidia kuzuia Saratani
iv.Inasaidia kutibu Baridi yabisi
v.Inasaidia Kusafisha damu
iv.Inasaidia kutibu Baridi yabisi
v.Inasaidia Kusafisha damu
vi.Inatibu Vidonda vya tumbo
vii.Inasaidia Kutibu chunusi
vii.Inasaidia Kutibu chunusi
viii.Inasaidia kutibu Macho
ix.Inasaidia kutibu Koo na Kibofu cha mkojo.
ix.Inasaidia kutibu Koo na Kibofu cha mkojo.
x.Inasaidia kulainisha na kunawirisha ngozi na kuifanya yenye afya.
0 comments:
Post a Comment