Image
Image

Kama ulikosa Nimekuwekea VIDEO ya alichokisema Dk.Magufuli kwenye viwanja vya Zakhem,mbagala.Cheki Hapa.

Mgombea uras kwa tiketi ya chama cha mapinduzi CCM Dkt John Pombe Magufuli akiambatana na mgombea mwenza Bi Samia Suluhu Hassaan wamepokelewa na maelfu ya wakazi wa jiji la Dar-es-Salaam na viunga vyake huku Dkt Magufuli akisema anakerwa na watendaji wa serikali wasiotimiza wajibu wao. 
**Bonyeza Hapa kuona na Kusikia ,Ahsante kwa kuwa wakwanza kusoma Taarifa zetu**.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment