WACHEZAJI 60 wanatarajiwa kushiriki katika michuano ya wazi
ya tenis ya TANGO inayotarajiwa kufanyika katika katika viwanja vya
klabu ya GYMKHANAjijini DSM,JULY 26 na 26.
Kocha wa tenesi wa klabu ya GYMKHANA SALUM MVITA amesema mashindano ya mwaka huu yanategemewa kuwa na ushindani mkubwa.
Wachezaji kutoka katika mikoa ya MOROGORO,DARE S SALAAM ,PWANI,DODOMA wanatarajiiwa kushiriki katika mashindano hayo.

0 comments:
Post a Comment