Mkuu wa mkoa wa TABORA, LUDOVICK MWANANZILA amewaomba
Madiwani wastaafu wa Halmashauri ya wilaya ya TABORA (UYUI) kuwa na
subira juu ya malipo ya mafao yao baada ya kuitumikia Halmashauri hiyo
kwa miaka mitano.
MWANANZILA ametoa ombi hilo wakati akivunja Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya wilaya ya TABORA –UYUI ambao wamesikitishwa na ukimya wa Serikali juu ya mafao yao.
Kabla ya kuvunja Baraza hilo, Diwani wa Kata ya USAGALI MRISHO ILAMATA na Diwani wa Kata NDONO HARUNA RWAMBO wakaelezea masikitiko yao.
Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo Dakta SAID NTAHONDI ameelezea baadhi ya mafanikio waliyopata katika kipindi chao cha miaka mitano iliyopita.
Mkuu wa mkoa wa TABORA LUDOVICK MWANANZILA amevunja Baraza hilo kwa kuwaomba Madiwani kuwa na subira ya mafao yao.

0 comments:
Post a Comment