Mpinzani mahiri ahudhuria kikao cha Bunge nchini Burundi.
Agathon Rwasa, kiongozi wa upinzani nchini Burundi amehudhuria kikao cha kwanza cha Bunge kilichoandaliwa kwa mara ya kwanza tangu kufanyike uchaguzi wa wabunge Juni 29.
Agathon Rwasa aliwashangaza madau wa siasa kwa kuhudhuria kikao cha bunge kwa kuwa alipinga na kufahamisha kuwa hatotambua matokea ya uchaguzi licha ya kupata asilimia 19 ya kura katika uchaguzi wa urais.
0 comments:
Post a Comment