Image
Image

Mshukiwa wa shambulio la Suruc atambulika.


Ankara yafahamisha kumtambua mtu ambae alitekeleza shambulio la kigaidi katika mji wa Suruc na kuwauwa watu 32 nchini Uturuki.
Suruc ni mji ambao unapatika mpakani mwa Uturuki na Syria.
Kwa mujibu wa gazeti la "Hürriyet", huenda mtu alietekeleza shambulio hilo ni mwanamke.
Waziri mkuu wa Uturuki, Ahmet Davutoglu alifahamisha katika ziara yake mkoani Sanliufa ambapo alizuru moja ya hospitali zinazotoa matibabu kwa watu waliojeruhiwa katika shambulio hilo kuwa askari Polisi walimtambua mtu alieendesha shahmbulio hilo na kusema kuwa alikuwa na uhusiano na wahilifu wanaopatikana katika nchi jirani.
Davutoglu alifahamisha kuwa, mshukiwa huyo huenda ana uhusiano na wanamgambo wa Daesh.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment