Htua ya kufungwa kwakwe inafuatia
taarifa ya utafiti ya baraza ka vyuo vikuu katika kanda ya Afrika Mashariki inayosema
kwamba viwango vya masomo katika vyuo vikuu imeshuka ambapo inaarifiwa kwamba
siku hizi kujipatia Digree hakumuongezei mkenya alama mbele ya Mwajiri wake.
Sikiliza hapa kujua nini kimesababisha kushuka kwa kiwango hicho cha elimu.
Sikiliza hapa kujua nini kimesababisha kushuka kwa kiwango hicho cha elimu.
0 comments:
Post a Comment