Amesema bado kuna masuala muhimu ya
kujadiliwa lakini suala hilolipo kwa
upande wa Iran kukubaliana na matakwa yaliyowekwa na mataifa matano makubwa
Aprili mwaka huu.
Rais OBAMA ameyasema hayo
kwenye mkutano wa waandishi wa habari
Mjini Washington akiwa na Rais wa Brazil Bi DILMA ROUSSEFF anayeizuru Marekani.
Kauli ya Rais OBAMA imekuja baada
ya Rais wa Iran Bwana HASSAN ROUHANI pia kuonya
nchi yake itarejea katika
shughuli zake za mpango wa nyuklia iwapo mataifa matano makubwa duniani
yatakiuka makubaliano.


0 comments:
Post a Comment