Image
Image

Rich Homie Quan kuwatukana waandaji wa tuzo za BET.

Rapa Rich Homie Quan aliwatukana waandaji wa tuzo za BET Kabla ya kurudi nyumbani kwao Atlanta weekend hii.
Rich Homie Quan uliyemsikia kwenye ‘My Nigger’ ya Yg alipangwa kufanya show kwenye jukwa kubwa la tuzo za BET ila baadae ilibadilisha na akapewa show ya nje kwenye red carpet wakati wageni wanaingia kitu ambacho alikichukulia kama dharau kwake.
Quan akiwa na kundi lake walipigwa stop na kuambiwa reahesal zao ni nje ndio ugomvi na matusi yalipoanza.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment