Image
Image

Serikali na upinzani kuendelea mazungumzo Burundi.


Rais wa Uganda na mpataniushi wa mzozo unaojiriri nchini Burundi kwa muda wa zaidi ya miezi miwili amefahamisha baada ya mkutano na pande zinazogomba kuhusu muhula wa 3 wa rais Pierre Nkurunziza kuwa mazungumzo ya kutatua mzozo wa Burundi yatendelea.
Rais Museveni aliteuliwa na Jumuiya ya Afrika Mashariki kuwa msuluhishi wa mzozo wa kisiasa uluosababishwa na kuteuliwa kwa rais Nkurunziza kuwania kiti cha urais katika muhula wa 3.
Rais Museveni amefahamisha kuwa, waziri wa ulinzi wa Uganda ataongoza mazungumzo ya amani ambayo serikali na upinzani wamekubaliana. 
Rais Museveni hakufahamisha kwa kina kilichojadiliwa katika mkutano huo na kusema kuwa yalioafikiwa sio kwa vyombo vya habari bali kwa faida ya Burundi na warundi.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment