Image
Image

Tazama namna ambavyo Maandalizi ya Eid Uturuki yanafanyika.


Pilikapilika za ununuzi wa vitu kwa ajili ya maandalizi ya sikukuu ya Eid El-Fitr zimepamba moto huku ikiwa sherehe hizo zimekaribia.
Ununuzi mkubwa unafanywa katika sekta za vyakula, vinywaji na nguo.
Wazoefu wanadai kuwa bei za bidhaa hazijabadilika sana ukilinganisha na mwaka uliopita.
Bidhaa nyingi katika vituo vya ununuzi zimefanyiwa punguzo la asilimia 50.
Takriban watu elfu 30 wanatarajiwa kwenda nje ya nchi katika msimu huu wa sikukuu.
Ukichanganya na idadi ya abiria wa ndani ya nchi, idadi ya abiria inafikia watu milioni 1.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment