Bodi ya utalii nchini TTB imetakiwa
kuendelea kuhamasisha watanzania kuwa na uzalendo wa kutembelea vivutio
vilivyopo hapa nchini na kuacha kuwategemea watalii kutoka nje ya nchi ikiwa ni
njia mojawapo ya kukuza uchumi kupitia sekta muhimu ya utalii hapa nchnini.
Kauli hiyo imesemwa na katibu mtendaji wa baraza la taifa la
biashara TNBC Bwana.Raynmond Mbilinyi na kuongeza kuwa watanzania wanahitajika
kujenga tabia endelevu ya kutembelea vivutio vilivyopo ili kuongeza pato la
taifa kupitia sekta yab utalii.
0 comments:
Post a Comment