Image
Image

Wadukuzi wa mtandao wadukua ukurasa wa Facebook ya staa wa Kenya.

Ukurasa wa facebook wa rapa Rabbit umevamiwa na wahalifu wa mitandaoni. Kupitia kurasa yake ya instagram Rabbit alisema yeyote atakaye jibiwa au kutafutwa kupitia kurasa hip ajue sio Rabbit ila ni matapeli wa mitandaoni. Karasa iliyochukuliwa na kuendeshwa na wahalifu hao inatumia jina ‘Rabbit King Kaka’.
kaka 1
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment