Siku moja baada ya serikali ya mkoa
wa Dar es Salaam kuagiza wafanyabiashara wadogo wote wa kariakoo kuhamia mara
moja katika viwanja vya jangwani kufanya biashara katika viwanja hivyo na
kuacha kupanga bidhaa zao chini pembezoni mwa barabara vingozi wa
wafanyabiashara hao wamejitokeza hadharani na kusema zoezi hilo limeshaingia
dosari baada ya wafanyabiashara ambao sio wa karikoo kuvamia viwanja hivyo
wakiwa na silaha na kutishia usalama kwa wafanyabishara wale wa Karikoo.
Bofya Hapa Kuona wanacho kisema wafabnya biashara hawa.
0 comments:
Post a Comment